Monday, November 16, 2009
HEH! KAKA MKUU KUMBE TUMEZALIWA MWEZI MMOJA?
bi moco akimpongeza mtangazaji mwezie kaka mkuu raymond ambaye anasherehekea miaka 30 tangu kuzaliwa kwake..... pa1 sana kaka na mungu azidi kukuweka zaidi na zaidi maana mchango wako katika jamii bado wahitajika saaaaana.... SASA WAPI KEKIIIII... ha ha ha!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera kaka Raymond kwa kutimiza miaka 30. Hongera sana. Naona nimechelewa lakini natumaini ulikuwa na siku njema.
ReplyDelete