Social Icons

Pages

Tuesday, November 17, 2009

HAPO CHACHAAA....


kila mtu jamani anavaa kile akipendacho ilimradi kiwe kinachomfanya ajihisi yupo huru nacho,lakini hapo hapo kitu hicho chaweza kuwa na madhara kwa kiasi flani pasipo mvaaji kufahamu....ndugu mvaaji viatu virefu,hasa weye unaevaa na kutembea umbali mreeefu sikia hii kwa uduuchu:::Ni vizuri kuepuka kuvaa viatu virefu sana mara kwa mara na hasa kama unatembea navyo kwa muda mrefu maana husababisha matatizo kwenye misuli ya miguu kama vikivaliwa mara kwa mara na kwa muda mrefu,,,,hiyo tu ikufae kwa leo.

3 comments:

  1. Hapo kweli kaaaziiii ipooo!!! Mie huko sipo kabisaaaa:-)

    ReplyDelete
  2. tukiwaambia mwisho wa dunia unakaribia mnabisha!

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text