Social Icons

Pages

Monday, November 16, 2009

HEH! KAKA MKUU KUMBE TUMEZALIWA MWEZI MMOJA?


bi moco akimpongeza mtangazaji mwezie kaka mkuu raymond ambaye anasherehekea miaka 30 tangu kuzaliwa kwake..... pa1 sana kaka na mungu azidi kukuweka zaidi na zaidi maana mchango wako katika jamii bado wahitajika saaaaana.... SASA WAPI KEKIIIII... ha ha ha!

1 comment:

  1. Hongera kaka Raymond kwa kutimiza miaka 30. Hongera sana. Naona nimechelewa lakini natumaini ulikuwa na siku njema.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text