Social Icons

Pages

Monday, November 16, 2009

SIJUI MSAMARIA MWEMA GANI KAMPOKEA JEMBE NA KIDUMU CHA MAJI!


hali hii bado yaendelea kwa baadhi ya makabila hapa tz,,,mama huyo huyo akakate kuni,akateke maji,aende shambani na akirudi kwa nyumba tena anakuta jiko limenuna na baba yupo tu kazi yake kupiga soga na kucheza bao.....jamani hayo mambo kusaidiana yako wapi???

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text