Monday, November 30, 2009
SILAZIMA KUTOKA WIK END, HATA KI HOME HOME MZUKA TU.
kiduchu sina neno mie,mara nyingi wik end ikinikuta free sina kazi kwa ofisi nyumbani kwangu ndo sehemu huwa na patikana muda woote.
mwandishi wa makala kupitia kazeti la mwananchi,sister tumaini msowoya alikuja kunitembelea wik end hii. ahsante kwa kampani yako dada nliipenda saaaaana,pa moja.
da tumaini ye kilichopo kwenye box ndo kilikuwa kinamfaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Raha jipe mwenyewe ndugu yangu:-)
ReplyDeleteteh teh teh....yaaaani, we acha tu da yasinta..ha ha ha.
ReplyDeleteMbona picha yangu siioni na tulikuwa wote
ReplyDeleteila baadae ulitokapo!
ReplyDeleteteh teh teh... jamani BENNET usinifanyie hivyo..ha ha ha. nashangaa kwanini hukutokea wakati tulipiga wote.... ha ha ha ha. John ananisingizia sikutoka mie, ha ha ha.
ReplyDeleteMMhhh.... jamani mbona hatuitani??
ReplyDeleteyaani ndio kimya kimya namna hiyoooo..hayaaaaa.
kwema lakini?
teh teh teh...jamani pole,leo ningekualika sema ndo sipo home tena,nipo job mpaka saa7 usiku. huku kwema saaana mungu anasaidia kiukweli ndugu yangu.
ReplyDelete