Social Icons

Pages

Friday, June 17, 2011

NILIKUTANA NAE, NIKAVUTIWA NA MTUPIO WAKE...


"Jambo jambo bwana, habari gani, nzuri sana, wageni mwakaribishwa TANZANIA yetu hakuna matata" Baada ya kukutana na huyu kaka haya mashairi yalipita kichwani mwangu hata sijui kwanini labda kutokana na hiyo jezi ama aje...mi mgeni jamani lol!!

4 comments:

  1. Daah hii nimeipenda Dada ni kiasi gani Nchi yetu unapenda na kuwavutia wageni kuvaa bango zetu. Watanzania nasi tujifunze kuwa na uzalendo japo ni vigumu Nabii kukubalika nyumbani Lakini "TUJIFUNZE HII, SOMA UKIELEWA FANYIKA KAZI HALAFU SEPA NAYO KWA WENGINE, LAZIMA WATAFUATA NYAYO ZAKO"

    Ni mimi GREYSON SALUFU a.k.a Chris BigBoy
    Dad am so Hood!!

    ReplyDelete
  2. Okay teh teh teh kama kawaida mdau nimeipitia kupunguza stress zangu, naipenda coz Blogu hii inabeba uhalisia ya maisha ya kila siku, endelea dada angu na uhabarishaiji pamoja!!

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text