Social Icons

Pages

Friday, October 30, 2009

YOTE KAZI YA MUNGU,POLE SANA B-MOCO


mama wa JAMBO BEAT BAABU KUBWA, Bahati Alex akiwa katulia kwelikweli hapo... kwa sasa yupo morogoro kwenye msiba wa shangazi yake ambaye amefariki jana ALHAMIS saa9 alasiri leba wakati akisubiri kujifungua. pole sana mamaa na tupo pamoja katika hiki kipindi kigumu ulichonacho kwa sasa dada....

3 comments:

  1. pole sana best angu, bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. AMIN

    ReplyDelete
  2. pele sana swaiba tulimpenda ila mungu kampenda zaidi..2po pamoja katika kipindi hiki kigumu ulicho nacho..

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text