Social Icons

Pages

Friday, October 30, 2009

MSINIUMIZIEE...


kaka mkubwa Austin nyondo akimminya mzee wa manispaa ya iringa


kiduchu nilipo vamiwa studioni na baadhi ya wana ebony


kama wao ndo wametikisa nyavu vilee....AGAPE MSUMARI kushoto,akiwa na DJ MUBBA waliponifuata studio na kunipa sababu za wao kubugizwa 2 mtungi''' nikikwambia watakuja na bakora wanichalaze buuuure,wacha nifunge mdomo miye.

3 comments:

  1. aliyetufungisha hii mechi alikua ni golikipa wetu maalim kondo, bisha,,,,,,,,,,,,,,,,

    ReplyDelete
  2. Lol.
    Kumbe Kondo ni kipa???
    Kafungisha kivipi? Si huwa anachambua michezo? Ama kusema sio kutenda???
    Anyway.Kubwa ni kuwa NYOTE MMEFURAHI NA MMEFANYA MAZOEZI NA MMEMALIZA SALAMA
    Blessings

    ReplyDelete
  3. ha ha ha...Aaih agape jamani,kwani mi nlikuwepo uwanjani siku ilee?

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text