Social Icons

Pages

Friday, October 30, 2009

KAMA WIK END NDO TAYARI ISHAFIKA,,,,,


usijiulize sehemu ya kwenda kuruka kopo,mambo yote ni ni TWISTERS CLUB na CLUB V.I.P kwa hapa stone town, na kwa mafinga ni EBONY CLUB shimoni....haya sasa furahi mwenyewe. wajameni wik end tulivu..

2 comments:

  1. Hodi wenyewe nimekukuta kwa Mzee wa changamoto nimeona si vibaya kukusalimu.Karibu sana dada Agness

    ReplyDelete
  2. ha ha ha....thanx sana dada yansinta nshakaribia,tuendelee kupeana michapo mpendwa wangu..

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text