Social Icons

Pages

Tuesday, November 3, 2009

KARIBUNI JAMANI TUENDELEE KUPEANA VIDUCHUUUUUUZ....


kiduchu & saggy "we mtoto mbona siku tatu sasa hupo angani?" hilo ndo swali alilo niuliza kaka mkubwa saggy leo. kidogo sikuwa pouwa kiafya lakini kwasasa niko vyema na nasongesha kama kawa,kama dawa karibuni....

1 comment:

  1. Pozi zuri sana hili,

    Saggy vipi??? mbona tumetupana ki hivyoo??

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text