
mwenye nayo kwake mawasiliano huwa mswaaanu ile mbaya ili mladi iwe na mawe ya kutosha.

shughuri huja pale inapogeuka bomu....jamani si vyema kulonga na simu huku ikiwa inachajiwa mana mambo kama haya yanaweza kukukumba wakati wowote,,,,
hapa utapata mitindo kiduchu,muziki kiduchu,urembo kiduchu nk...lakini kiduchu ya hapa itakutosha.
Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment