
ha ha ha...bwanawee mi sijui

jamaa yangu jasveer leo kaja na kitu kilichonifanya nicheke kweli...eti kwanini kikatuni huwa hakifi? kama huwa unaangalia katuni basi nadhani unaweza kumjibu mana mi sikuwa na lakumjibu zaidi ya kucheka...
hapa utapata mitindo kiduchu,muziki kiduchu,urembo kiduchu nk...lakini kiduchu ya hapa itakutosha.
Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment