Social Icons

Pages

Wednesday, November 4, 2009

AMA KWAHAKIKA NITOE NIMTOE...


ng’ang’alito mshiriki wa tusker project fame 3,amewachanganya wana afrika mashariki waliokuwa wanafuatilia shindano hilo kwa kitendo chake cha kuanzisha shindano lake la kusaka vipaji..Ng’ang’alito king’ang’anizi wa TPF ambaye anarecod ya kushiriki shindano hilo mara2 na kuwekwa kwenye probasion mara6 na mara zote alinusurika kutolewa...Citizen tv ya mjini Mombasa imempa shavu la nguvu ng’ang’alito atimize ndoto zake za kuanzisha shindano la kusaka vipaji.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text