Wednesday, November 4, 2009
KAAZI KWELI KWELI....
chamilione amezusha kituko kingine na kusababisha gari lake lizuiliwe kwenye hotel aliyo kuwa amefikia...Gari hilo limezuiwa baada ya chamilione kushindwa kulipa sh. 28,000 za Kenya kama bili ya kuishi kwenye hotel ya Spring villa.
Chamilione alikuwa afanye show kwenye hotel ya malaba port spring villa,jamaa alizaja raia kibwena lakini hata hivyo mchizi aliimba kiduuuchu kwa dakika 10 na kuondoka stejini huku akiacha mashabiki wamechanganyikiwa.
Chamilione aliondoka mbio na gari la kundi lake la Leon Island crew na kutokomea gizani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kweli ni kaaazi kwelikweli!!!
ReplyDeleteHalafu wanakera sana na show zao za dakika 10 huku viingilio tumetoa elfu 10.
ReplyDeleteMalikia wa Mawimbi ya sauti