mama wa JAMBO BEAT BAABU KUBWA, Bahati Alex akiwa katulia kwelikweli hapo... kwa sasa yupo morogoro kwenye msiba wa shangazi yake ambaye amefariki jana ALHAMIS saa9 alasiri leba wakati akisubiri kujifungua. pole sana mamaa na tupo pamoja katika hiki kipindi kigumu ulichonacho kwa sasa dada....
pole sana best angu, bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. AMIN
ReplyDeletepele sana swaiba tulimpenda ila mungu kampenda zaidi..2po pamoja katika kipindi hiki kigumu ulicho nacho..
ReplyDeletePole BA
ReplyDeleteBlessings