Social Icons

Pages

Thursday, October 29, 2009

SIJUI HUWA INAKUWAJE MPAKA KUFIKIA HATUA HII...


huwa najisikia pouwa sana pale msanii anapo jaribu bahati yake na kujikuta kabahatika kutoka,nasi kama wapenda burudani huamini kwamba tutazidi kupata mengi mazuri kwa siku zijazo bila kufahamu kuwa lolote la kutukatisha tamaa laweza tokea na kutufanya mitima yetu kutumbukia nyongo kabisaa juu yake ama kundi husika. nisikuchoshe sana wangu...hapa nawazungumzia jamaa ambao wamekamata nchi ile mbaaaya na goma lao linaloitwa SAMAKI...nawazungumzia OFFSIDE TRICK ft AT. jamaa kwa taarifa kiduuchu nilizo zikamata ni kwamba wameanza kurushiana naneno na mchizi walio shirikiana nae AT kwamba wimbo sio wake bali walimshirikisha tu, na hiyo imetokana na wao kupata nyepesi kuwa mshkaji akiwa kwenye show zake mikoani huwa anatumia ngoma hiyo kuwarusha mashabiki wake. AT nae amesema ile ngoma walishirikiana kuanzia utunzi na vikorombwezo vyote na kwamba wazo la ngoma hiyo ni la manager wake ADAMU na yeye ndo aliwachukua washkaji zake hao na kumwomba ADAM awasaidie, sasa kinacho mshangaza ni wachizi wake hao kumgeuka na kumsema vibaya kwenye vyombo vya habari na kwamba kuanzia sasa hatopanda na washikaji hao kupaform pamoja ngoma hili kali lenye mahadhi ya mduara liitwalo SAMAKI. jamani mpaka hapo nadhani tutakuwa tumeenda sawa na umenielewa kwanini nilianza kwakusema vile hapo juu japo...

1 comment:

  1. just another reason i am far from being a fanatic of bongo flavour. Hivi how long shall this stupidity of not knowing the owner of the song continue. I don't remember such many an incident but i can't forget the one involving Tundaman and the other guy fighting madly for the song called taarifa maskani. Hivi isn't there anybody to tell them who is who before open their lips wide to record at the the studio. tumbafu kabisa. i thought such incidents are part of history but they keep resurfacing over and over. ufike wakati there shall be a written and signed document as for who the owner of the track is and who is not. tushachoka.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text