Social Icons

Pages

Tuesday, October 26, 2010

NI ZAMU YA MB MAKOPA SASA,ENDELEZA HESHIMA ..


Haya baba jiweke vyema kwanza ndo mambo mengine yafuate, siunajua ukiwa unanukia utuli kila mtu anatamani kukaa pembeni yako? hahh hah hah habari ya nani banaaaaaaaaaaa.

Unataka hiki,unataka kileeeeeeee?? Jipangeee....

Afrika mashariki itafungatwa kwenye kiganya kimoja,na kuwasha moto wa burudani mzimaji sijui atakuwa naniiii? hah hha

Kazi itaonekana siku hii..

Mwisho wa siku tunaburuza tu kwa watu kama tupo kwetu,safiiiiiiii...hah hah hah

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text