Social Icons

Pages

Wednesday, October 27, 2010

BATA MREEEFU KULIWA KUSINI MWA TANZANIA..


Kutoka Uganda (Radio & Weasel) mpaka Iringa Tanzania, jamaa watakuja kuungana na baadhi ya wasanii wakali toka nyumbani kwaajiri ya kutoa burudani kwa mashabiki watakao hudhuria tamasha kubwa lifanyikalo kila mwaka kwa kuandaliwa na Ebony Fm la mtikisiko,ambalo mwaka huu limebatizwa "Mtikisiko bata mreeeeeefff"

"Na bizness beibeee,pararararaaaa, rararaaa, rararaaa, rararaaa, ra ra ra ra ra, na macko chiz kidogo" Hhah hah hah, hapo pakianzaga tu mi hooooi...kiukweli jamaa yupo vyema sana na ndomaana Ebony fm ikaona safari hii ya kwanza kabisa kupeleka mtikisiko bata mrefu mbeya impe heshima ya kuwa mwenyeji wa wasanii na mashabiki watakao jumuika kwa pamoja tarehe 6 mwezi wa 11 mwaka huu ndani ya uwanja wa sokoine...Mchizi afahamika kwa jina la Izzo B.

Mmmh! usiniulize naguna nini tafadhari,maana shughuri ya huyu kaka wapenda burudani wooooote twaijua akiwa stejin...napiga shiiiiiiiiiii halafu mwisho wa mchezo ntakuja kukupatia matokeo kwa wewe ambaye huta bahatika kufika mbeya ama iringa kwenye kumla bata mreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeefu mtikisiko 2010.

"Kama mapenzi ndiyo haya,naona bora nikimbie" hah hah hha...kidogo tuu nimejaribu ila bibie huyu ndo atakupa mpango mziiiiiiiima wa hii kitu na nyingine nyingi alizonazo, anaitwa LINAH.

Barnaba..

Mh.Temba & Chegge..

Na mtu mzima Roma....hawa ni baadhi tu ya wakali watakaofanya kweli mbeya katika uwanja wa Sokoine tarehe 6.11.2010 na iringa ndani ya uwanja wa samora tarehe 13.11.2010.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text