Social Icons

Pages

Friday, October 29, 2010

MHH! NANI KAIONA KESHOOO?...


"Kuleni wanangu hiki kilicho patikana maana uhakika wa kula usiku haupo leo"

"Rafiki yangu, panda twende tusije chelewa shule bureee...siunajua elimu ndo ufunguo wa maisha yetu? Tusome kwa bidii ili siku za usoni tujikwamue katika hali hii"

"Mmmh! Sijui patakucha jamaniiii?"

"Hatimaye kumekucha na siku mpya imeanza, sijui itaishaje?"
Picha kwa hisani ya EMMANUEL ABEL wa facebook.

2 comments:

 

Sample text

Sample Text