Social Icons

Pages

Wednesday, October 20, 2010

MASAJI NI NJIA NZURI PIA YA KUPUNGUZA UNENE..


Ikiwa unaangalia namna unavyokula, unafanya mazoezi na kufanya masaji mara moja au mbili kwa mwezi unaupalilia mwili wako vizuri...Kufanya masaji husaidia ngozi, mishipa ya damu na sura nzima ya mwili na taswira yako mwanadamu.

Wengi wetu tunaposikia neno kusinga (masaji) tunafikiria usingaji wa mapenzi. Hivi ni vitu viwili tofauti kwani usingaji wa mapenzi unaimanisha mahusiano ya kihisia.

Kifupi mwanadamu unatakiwa uwe unautunza na kuuangalia mwili wako kama nyumba yako.

Wengi wetu tunaoga, tunajipaka marashi, tunasuka, tunanyoa nywele au ndevu lakini miili yetu kiundani inaoza taratiiiiiiiiiiibu…

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text