Social Icons

Pages

Thursday, February 4, 2010

SHOST HUYU KAWAACHA WATU HOI LEO...


mwanamke kibegi, we unachooo?..ha ha ha, na hapo ni baada ya kulilia tunda akapewa na mpango wa kulisakata ukaanza kama hivi.

shost yupo hapo ila haonekani kutokana na uandunje alionao...

haya ndo matunda yanayoitwa ma pindigess,ambayo kwa sasa huwezi pita mtaa wowote usikutane na mtu anayauza mana ndo msimu wake sasa...yanalimwa sehemu moja yaitwa DABAGA huku huku iringa. Sasa bi shostito huyu alikuja kulilia paka kapewa...teh teh teh...ama kwa hakika utoto raaaha jamani,hebu mtumzima jaribu kulilia kitu uipate ngondo yake,mana kama hujaitwa chizi basi lipo linalokufaa.

bi dada akilimenyua tunda lake taratiiibu tena kwa nafasi yaki...teh teh teh.

baada ya kumaliza kula matunda akauanza mdogo mdogo kwenda kwao...ha ha haa,looh!

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text