Social Icons

Pages

Thursday, February 4, 2010

HONGERA KAKA SAGGY KWAKUPATA BABY BOY...


kaka saggy(mfanyakazi mwenzangu) a.k.a baba OTIS

kijana mtarajiwa OTIS,katuliia mwenyewe....aiseee ni kazuuuuri kwelikweli haka katoto...itabidi nifanye juu chini nimletee mke ili mimi na wazazi wake tuunganishe udugu...ha ha ha ha.

wifi LIGGE (mke wa kaka saggy) akiwa na kichanga chake leo katika wodi ya wazazi, hospital ya mkoa (iringa)

1 comment:

  1. hey
    Hongera sana man.

    Me tulisoma wote Azania

    Mbonea.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text