Social Icons

Pages

Wednesday, February 17, 2010

NI FRESHI,NI YETU,NA TUMEIPOKEA KWA MIKONO MIWILI...


mchizi anaitwa hamad ally... a.k.a madee ama rais wa manzese. alikuja pande hizi tangu j3 na jana jamaa akaleta mzigo wake hapa ebony fm ambao ameuachia kwa hewa tangu j,mosi unaokwenda kwa jina la "it's all about madee" akiwa na mtu mzima ngwair, kiukweli nimepata bahati ya kusikiliza mkwaju huu uko vizuri sana nanaamini historia ya kuendelea kutamba angani itaendelezwa kupitia mzigo huu...big up my mungu ni wetu sote atazizi kukung'arisha kazana kumwomba na kumwamini....pa moco.

madee na julian ambae anapatikana kupitia www.twentyfoursevenmishemishe.blogspot.com tembelea upate mishe za kila dialy...

dj mubba,madee,dj kwasa na kaka mkuu (raymond) wakishow mapendo...sio mchezo.

dj mubba,madee na dj kwasa nje ya office za ebony fm jana.

prezdaa wa nzese na kiduchu stand ya mkoa(iringa) leo asubuhi

"oyaah! kama vipi mungu akipenda tutaonana tena" jamaa akajitoma kunako huo mchuma na kusanzuka zake diziiii..

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text