linex leo atakuwepo pande za st.dominic kwaajiri ya kutoa burudani kwa wapendanao, waliopata mwaliko maalumu na mradi wa CHAMPION unao lijishughurisha na uwajibikaji wa mwanaume kwa mwanawake
kupitia shirika lake la ENGNDERHEARLTH.
opg na linex
bayshow ilove u baby....ha ha ha..kama vipi naweza ibuka pande hizo mana kadi nimepewa na mie jamani lol!
No comments:
Post a Comment