Social Icons

Pages

Friday, February 12, 2010

LEO NDO LEO NDANI YA CLUB V.I.P...


sqeezer na mchizi wake ney...

sqeezer,ney wa mitego na bonnie slay...sqeezer mtoto wa pande za GANGILONGA ye hakuwa na mengi ya kusema zaidi ya kunambia "aggy mama,sina mengi zaidi ya kusema kuwa ITAFAHAMIKA leo pale club v.i.p njoo ushuhudie halafu uwape habari" ha ha ha..haya kaka.

liz one,mtoto wa kiume mabovu toka pande za MLANDEGE na mwenyeji wao mtu mzima eddo kabla ya enterview kupitia kipindi cha the splash kinachoendeshwa na Eddo (baba wawiiili)

mshkaji wa geez(sikulinyaka jina lake vizuri wadau)

mchizi wake mwingine ambaye nae jina nimelisahau nsamehewe bure.

liz one,geez na mkubwa eddo...mabovu ye kwa upande wake amesama kutadondoka bonge moja ya show ambayo hajawahi kuifanya tangu aingie kwenye game. " mi ntajisogeza pande hizo na ntakuja kukumalizia utata wa atakae ukamata ufalme kati yao".

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text