Social Icons

Pages

Friday, February 12, 2010

HAPPY BIRTH DAY DJ KWASA...


bwana mkubwa huyu leo anakumbukia tarehe na mwezi lakini miaka kadhaa iliyo pita tangu kuzaliwa kwake,,,lakini mmh! jamani mi sijui huo mmea waitwaje ambao mzaliwa kaamua kushow nao luv. ha ha ha bwanaee yote kwa yote nakutakia maisha marefu kaka..

zahira,sisy rau na katoto ketu... ha ha ha

JML na dj kwasa..pamoja kaka

rafiki yetu ZAHIRA toka chuo kikuu cha tumaini hakuwa nyuma kutoa pongezi kwa mtoto wetu...

"hongera kaka,unatimiza miaka mingapi kwani" bonnie alimwuliza mzaliwa..badala ya kujibu kwasa akamwambia "we bwana piga picha uende kwenye kipindi" ha ha ha

birth day boy,sqeezer,ney wa mitego na b-slay waki show love....

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text