Social Icons

Pages

Tuesday, February 9, 2010

IT'S ALL ABOUT MADEE JUMAMOSI HII...


baada ya kung'arishwa vyeeema na mzigo wa PESA ambao ndani alishirikishwa msanii mwenye sauti ya kulalamika TUNDAMAN na kufanikiwa kumweka juu zaidi katika ramani ya muziki huu wa kizazi kipya ndugu HAMAD ALLY a.k.a MADEE,sasa m'bongo fleva huyu anatarajia kuuachia mzigo mwingine unaotoka ndani ya albam yake ya PESA unaokwenda kwa jina la "IT'S ALL ABOUT MADEE" ambao ndani yake mtu mzima NGWAIR kapewa shavu la kutosha. pia jamaa kaning'ata sikio kuwa baada ya muda kidogo itafuatia video ya goma hilo ambapo kwa sasa yupo kwenye maandalizi yake....

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text