Social Icons

Pages

Wednesday, February 10, 2010

JAMANI NAWAPENDA PIA...


wanafunzi wa shule ya sekondari cleruu kidacho cha nne,nimekutana nao maeneo ya viunga vya posta wakanambia"dada agness tunakupenda" tena walisema kwa pamoja,sijui waliambizana halafu wakahesabu mpaka 3 na kusema kwa pamoja? mi na wewe hatujui....ila nimefurahi saaana nkawajibu "nawapenda pia" ili kudhihirisha hilo nikaona niwapige hii picha kama kumbukumbu.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text