Social Icons

Pages

Wednesday, February 10, 2010

BOBI WINE AACHIWA KWA DHAMANA ...


Msanii wa muziki nyota nchini Uganda Bobi Wine ,amepata dhamana baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga afisa polisi Mohammed Wasswa mwishoni mwa wiki iliyopita .
Hatua ya kuwekwa ndani ilikuja baada ya Bobi Wine kuwafokea polisi kituoni kwamba walikuwa wanamchelewesha wakati akihojiwa hali iliyowachukiza maafisa hao na kuamua kumtupa rumande huku wakimnyima dhamani kwa utovu wa nidhamu aliouonyesha kutokana na kudharau chombo cha dola
Alipoulizwa kwa nini ametenda kosa lililompeleka kituoni , Bobi alisema aliamua kumpa kisago mjeda huyo baada ya kumkuta akiwa amelewa na kuwasumbua watu huku akimlazimisha bobi aseme kwamba yeye alikuwa ni rais wa eneo walilokuwepo la Kabalagala ....mmm!kaaazi kwelikweli.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text