Social Icons

Pages

Wednesday, January 6, 2010

TWENDE KIA SASA..baada ya kutoka arusha kuelekea moshi tuliona ni vyema tukapitia uwanja wa ndege (KIA) ili kujua baadhi ya mambo yanajiri uwanjani hapo

makini kweli kweli...natamani siku1 nifanye hii kazi....kutoka kushoto B-singo,kaka mkuu na kiduchu

hii ndo sehemu ambayo mawasiliano kati ya wataalamu wa humu ndani na rubani hufanyika ili kila kitu kiende sawa.

vijana tukiwa makini kumsikiliza mwenyeji wetu akitupa mawili matatu kuhusiana na kinacho endelea kwenye chumba cha mawasiliano.

aisee hii kazi yataka uwe na darasa la kutosha kichwani na sio kipaji...ha ha ha

ukiwa kwenye hiki kijumba,unauona uwanja huu kwa uzuuuri kabisa.

baada yakumaliza na KIA tukaamua kujisanzua uwanjani hapo.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text