Social Icons

Pages

Thursday, January 7, 2010

AHADI NI DENI...TUANZE NA AICC KWANZA.


naombeni niweke chochote kitu tumboni kwanza ndo safari ianze sawaaaa??

tunaenda ndani ya huu mjengo wapendwa...twende sote

karibuni jamani ndani ya....

vijana wa kishow love na sanamu ya mnyama simba

mwanyeji wetu alitufikisha hapo, sehemu ambayo mh raisi hufikia kupumzika kichuchu kabla ka kuingia mkutanoni

vijana ndani ya simba hall wakimsikiliza mwanyeji wao kwa makiiini.

bonnie na hatya

hapo ni kicheko tu...bahati,eddo na julian

mheshimiwa b-sly

baada yakutoka SIMBA tukaletwa huku kewnye ukumbi mdogo unaoitwa SERENGETItulipoletwa huku juu kaka edo akasema "mi sishuki jamani nabaki huku juu kwenye upepo mwanana" ha ha ha.. kiukweli kunaita mbaaaya.

sasa ngoja tushuke chini ili tusepe zetu..

jema,agness,bahati,julian & raymond

baada yakukamaliza ka ziara ketu ndani ya mjengo huu

1 comment:

  1. Jamani yaani nimetamani kweli nyumbani. Ahsante Agnes. Duh kweli nyumbani ni nyumbani!!

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text