Social Icons

Pages

Monday, January 11, 2010

MAHAFARI YA KUWAAGA WAHITIMU WA KIDATO CHA 6 SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI WILAYANI MUFINDI (IRINGA)


hawa ni baadhi ya wahitimu wa kidato cha sita kupitia Umoja wa wanafunzi wa Kikristo Tanzania (UKWATA) ambao hii kwao itabaki kuwa siku ya kuikumbuka.

mgeni rasmi ndugu,ALATANGA NYAGAWA ambaye ni Mwenyekiti wa Muungano wa mashirika yasiyo ya kiserikali Wilayani Njombe (NJODINGO)akiwaasa wahitimu kutojihusisha katika vitendo vya ngono ili kujiepusha na maambukizi ya Ukimwi wakati wakisubiri kujiunga na elimu ya juu.

wahitimu hawakuwa nyuma katika utoaji burudani ya kwaya.

wanafunzi wa kidato cha 5 kutoka shule ya JJ MUNGAI wakitoa burudani.

wanafunzi wa kidato cha 5 kutoka shula ya kawawa,nao waliwapa wahitimu ujumbe mzuuri kupitia wimbo wao walio utunga maalumu kwaajiri ya hao dada na kaka zao walio kisanua siku hiyo.

"jamaniee,raha jipe mwenyewe"...baadhi ya wanafunzi waliokuwepo kuwaaga wenzao walio hitimu.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text