Social Icons

Pages

Thursday, January 14, 2010

REDSAN AJA NA UNBREAKABLE


gwiji garacha na mkali wa miondoko ya raga redsan,ameamua kimtindo kubadili staili yake ya uimbaji na kuibukia katika raga na single yake iliyoko kwenye albam yake. single hiyo inayokwenda kwa jina la UNBREAKABLE amemshirikisha mwana dada mwenye sauti ya kimikito yenye mvuto angela mwadanda (sinde) toka kundi la tatuu.
unbleakable ambaye baadhi ya watu walidhani ni wimbo ulioimbwa na sean paul kutokana na viwango vya kimataifa vya wimbo huo. unbreakableunatarajia kuja na video kali. na kwa upande wake bibie sinde ameonyesha maajabu katika ngoma hiyo kwakuimba katika sauti ya juu na kumshangaza kila aliyepata bahati ya kuisikia.. redsan pia amefanya rap ya kufa mtu kwenye goma hili na kinacho vutia zaidi ni uwezo aliouonyesha wa kurap kwa rafudhi ya kijamaica. mistari ya wimbo imepangiliwa vyema na kuacha nafasi ya chorus na redsan ameonyesha utofauti wa kuzungumzia mapenzi.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text