Social Icons

Pages

Tuesday, January 5, 2010

JAMANI NILISAFIRI KIDOOOOGO...SI MBAYA UKAJUA NILIKOKUWA KWA KUCHEKI HIZI PICHA.


leo nimekuwekea picha za matukio mchanganyiko chache tuu, ili ujue kilichokuwa kikisonga takribani wiki 2 zilizopita kwa kiduchu mie. kesho panapo majaaliwa ntakuwekea picha za AICC na uwanja wa ndege KIA...(twende sasa)

huyu ndo mnyama wetu tulie anzanae ARUSHA,MOSHI mpaka DAR na akawa anatupeleka kila tulikotaka,hakusumbua hata kiduuuuchu... mwanzo mwisho na full kiyoyozi

sijui ni kwa nini sikuwa na furaha hii siku..

"hallow, nani mwenzangu?" sissy jema

kiduchu na dj kwasa

kaka Austine nyondo na b-sly wakipata kifungua kinywa ndani ya peacock hotel.

jamani huu mchezo gani tena wandugu?? khatya & kaka mkuu.

duuuh! huyu ndugu aitwa EDWIN BASHIRI,,katika hiki kipindi kaanae mbali... ha ha ha

tukibadilishana mawili matatu na manager wa RADIO 5 arusha mtu mzima BARUHANI MUHUZA.

kiduchu nikiwa na mchizi wangu b-sly

bi jema..."akuu,sitaki shari mie"

bi khatya omary katika pozi laukweli...utaipenda tu.

mmmh!! hii picha kama siielewi vilee?! we mwenzangu waonaje?

ha ha ha..hata sikumbuki ilikuwaje tena hapo kidole kikanyooshwa...

timu nzima ya ebony fm tukishow love..

KIDUCHU na BONNIE ZAKARIA (b-sly) nje ya AICC ARUSHA

kila mtu anawaza lake..huyu wa mbele KIDUCHU,JEMA na J-REE.

wanadafadafa wa Ebony fm tukiwa nje ya AICC baada ya kuambiwa turudi hapo kesho yake...

safari ya kuelekea studio za tripo A

hii ni studio ya TV ikiwa katika makamilisho ya mwisho mwisho so soon tu jamaa wataanza kuuza sura kideoni...

hapa tukiwa ndani ya studio za TRIPO A pande za Arusha.

sissy JEMA akionyesha ujuzi katika sekta ya umenyukaji.

BAHATI ALEX nae alikuwepo..

kwenye maswala ya msosi huwa sichezi mbali.Hapa tulialikwa diner na mzee mfugale pande za PEACOCK HOTEL

kaka mkuu RAYMONDI...kwa raha zake kuleeee...

sissy JEMA yeye aliona ni bora ajibanze kwa chini ili apate pozi zuri la kusinzia...

kiduchu na j-ree...kwaraha zao kuleeee

3 comments:

  1. Ahsante kwa taswira hizo. Na karibu tena

    ReplyDelete
  2. naamini kabisa kuwa mlikuwa na gud taim arusha, au?

    ReplyDelete
  3. ha ha ha...umejuaje kaka john? n thanx dada yasinta nshakaribia.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text