kama kawa kiduchu leo pia sina mpango wakutoka zaidi ya kutulia home na kucheki move tu...(picha kwa hisani ya kaka MJENGWA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hapa utapata mitindo kiduchu,muziki kiduchu,urembo kiduchu nk...lakini kiduchu ya hapa itakutosha.
Dar es Salaam |
Trevlig helg kompis!!Ni kweli ni safi kutulia nyumbani.
ReplyDeleteDada Aggie
ReplyDeleteKwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
Baraka kwako
ahsante sana kaka kwa kudra zako, nawe pia na familia yako msherehekee kwa upendo na amani x-mass na mwaka mpya...bwana awe nanyi siku zote.
ReplyDeletemimi dimpo tuuuu ndio zinanimaliza,nakutakia kila la heri dada katika kumalizima kwa mwaka huu na kuukaribisha mwaka mwingine wa 2010.
ReplyDeletePamoJah.