Social Icons

Pages

Friday, December 25, 2009

MASKINI,POLE TUNDA MAN...


naamini kama una kumbukumbu nzuri niliwahi kublogisha kuhusu TUNDA na MADEE kukwea pipa trh 8 mwezi huu na kwenda kupiga show kwa mzee MADIBA(Afrika ya kusini)... kweli jamaa walienda na kumaliza kilicho wapeleka na ndipo trh 23 wakajirejesha kwa nyumba (TANZANIA) na kila m1 wao akala kona kuelekea kwake. bahati mbaya ilikuwa kwake tundaman,maana kabla ya kufika kwake alivamiwa na majambazi wakamnyan'ganya kila kitu alichokuwa nacho. katika harakati za kujihami ndo wajamaa wakatoa mapanga na kumchalanga baadhi ya sehemu ktk mwili wake. lakini yote kwa yote namshukuru mungu kwakuendelea kumpa uzima na naamini siku si nyingi atakuwa poa na kuwajibika kamakawa katika kutupa dawa ya kiburudani. lakini kwa sasa yupo mtwara na washkaji zake wa CHAMA KUBWA japo hapa4m ila kampani anayopewa inamfanya azidi kujisikia vizuri zaidi. POLE SANA KAKA,USIJALI TUPO PA1.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text