Social Icons

Pages

Tuesday, December 15, 2009

VYAKULA MUHIMU KWA AFYA YAKO.


Ili kuwa na afya njema pamoja na mengine pendelea kula majani ya maboga, mlenda, kabichi, bamia.

Kwa upande wa matunda, pendelea kula machungwa, zabibu, fulu, ukwaju, zambarau, karoti, mapapai, maembe na mapera.

Pia pendelea kula vyakula mchanganyiko, kwa mfano jamii ya kunde na vyakula vyenye asili ya nyama (protini) husaidia kujenga mwili, kuboresha kinga na kurudisha sehemu zilizochakaa. Vyakula hivi ni kama maharagwe, njegere, kunde, karanga, mbaazi, dengu, njugu, samaki, nyama, maziwa, jibini, dagaa, mayai, maini, figo n.k.

Vyakula husaidia kuondoa harufu mbaya na kumfanya msichana/mwanamke avutie, kwani huondoa upele usoni na sehemu zingine za mwili na pia kusaidia kuwa na mwenye kuvutia, cha msingi ni kujua ule nini kwa ajili ya kusaidia nini.

2 comments:

  1. Umenikumbusha sayansi kimu darasa la ngapi sijui, walikuwa wanaongelea mambo haya haya, somo zuri sana

    ReplyDelete
  2. NJAA INAUMA AISEH MBONA UNAFANYA HIVYO JAMANI

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text