Social Icons

Pages

Monday, December 14, 2009

VIPI MWENZETU MA LAV DAV 2009?

Mwaka ndo hivyo tena wandugu unanyong’onyea
JE? MAPENZI yamekufanyia nini?

1. kiasi gani umelipa gesti
2. umehonga shilingi ngapi?
3. Umetumia kiasi gani ukikodi au kumkodia mpenzio tax?
4. Umetumia kiasi gani kununua VOCHA umpigie na wakati mwingine kumtumia mpenzio?
5. umeumizwa mara ngapi?
6.umetumia kondom mara ngapi?
7.umebadili wanaume ama wanawake mara ngapi?
8.mmetoka out na mpenzio mara ngapi?
9.umemfumania ama kufumaniwa mara ngapi?
10.amekushauri mangapi kuhusu maisha?
NAAMINI JIBU UNALO, SASA 2010 WATAKA MAPENZI YAKUFANYIE NINI?

je hivi?

au hivi kabisaaa? ha ha ha...jipange tu huku ukimwomba mungu na kumwamini mana hakuna kinacho shindikana chini ya jua....

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text