Social Icons

Pages

Wednesday, December 9, 2009

MTIKISIKO 2009 ILIKUWA NI KAMA BINADAMU KUMLA SIMBA....


huyo ndo miss shikide...(fungua ujionee)
wafanyakazi wa ebony fm wakifuatilia kila tukio kwa umakini wa hali yajuu. kutoka kushoto ni glory pelle,hatya omari na bahati alex. nyomi hii iliwadatisha mbaaya watoaji burudani wetu..(wanamuziki) bwanawee..mzuka ukikupanda hata nguo waweza kujikuta huna (mashabiki wakitikisika kiburudani) kwa raha zao kuleeee.... matonya nae hakulaza damu katika utoaji burudani... beb madaha aliwaonyesha kazi wakazi wa nyanda za juu kusini....mwanamke anamwaga uno kama hana mifupa ebana daah?? ha ha ha... wana sweet noise bendi wakaanza kazi (hii ni bendi yetu ebony) inayo fanya kweli si kitoto huku iringa kila siku ya jumatano na jamamosi... pia mwana dafada mwenye shikide alisakwa. mtanange ndo huooo.. haya jamani macho yote kwa wanao vuta kamba... watoto nao jamani wana haki ya kufurahi na ndo maana wamewahi mapemaa...haya tupeni burudani kidogo. stage ipo tayari sasa kazi kwenu watumiaji.

1 comment:

 

Sample text

Sample Text