inakuwaje mtoto kulia mpaka anakauka sauti nawe mama mtu unamtizama tu,unamchapa mpaka kumjeruhi bila hata huruma na ukiulizwa unakuwa mkali mithili ya pilipili eti kisa umemzaa mwenyewe? mbona kunapotokea tatizo unawashirikisha hao unao sema hawakuwa leba nawe? kuna sababu gani zakuwahi kuanza mambo ya kikubwa na kupata mtoto kamaunahisi muda wa kufanya hivyo bado?.....
No comments:
Post a Comment