Social Icons

Pages

Tuesday, November 10, 2009

UKIULIZA UTAAMBIWA MZUKA UMEPANDA...MMH!


katika uwazi huu jamani ukivamiwa na midume mikware utasema umebakwaa ama umejibakishaaa? jibu unalo mwenzangu....

4 comments:

  1. Sio upuuzi pekee bali ni uhamzwani wa kutupwa huu, naimani huyu mama ana familia na sijui anajifikiriaje akimaliza hiyo shughuli.

    Jamani tuangalie na tamaduni zetu zinasemaje tusiige uhamzwani wa mahazwani duniani.

    ReplyDelete
  2. teh teh teh... kaka kondo ahsante kwa kiswahili chako...UHAMZWANI...ha ha ha.

    ReplyDelete
  3. Labda ni mzuko sasa, na sio mzuka, khaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text