Social Icons

Pages

Friday, November 6, 2009

UNATAKA USIWE TIPWATIPWAAA?


Kama unataka kupunguza tumbo au mwili kwa ujumla ndgu yangu kula kwa mpangilio maalumu. Asubuhi kunywa chai nzito, mchana kula chakula kilichokamilika, ila
usiku kula matunda tu ili uweze kuupa mwili nafasi ya kujitengeneza na hasa kupunguza mfuta yaliyozidi mwilini.Uwe unakula wakati unasikia njaa tu mwenzangu ,sio bila yakusikia njaa ili mladi umeona msosi hauna mwenyewe basi unarundika tu mwilini na baadaye chakula hicho hubadilika na kuwa mafuta ambayohutengeneza manyama uzembe.Ukishindwa hivyo nenda kwa daktari iliakupe masharti ya vyakula na uweze kupunguza mwili,japo na mazoezi pia ni muhimu...

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text