%5B1%5D.jpg)
Ukitaka kuondoa chunusi usoni na kusafisha uso usiwe na madoa kwa kiasili, njia zifuatazo zaweza sana kusaidia.Tafuta ukwaju loweka katika maji ukishalainika changanya na asali, paka usoni.
Ni dawa nzuri sana na utaona ngozi yako inabadilika kwa kipindi kifupi.
Kama utashindwa kupata vitu hivyo tafuta sabuni pamoja na krimu yenye mchanganyiko wa asali na ukwaju....lakini nadhani asali na ukwaju kama utaenda sokoni ni rahisi kupata,fanya hivyo ili upate amani ya moyo ndugu yangu.
Asante kwa ushauri wako dada agness!lakini mchangayiko huu unafaa kwa aina zote za ngozi?
ReplyDeleteayo maji yawe vipi
ReplyDelete