Social Icons

Pages

Friday, November 6, 2009

HAYA BASI FURAHI....BONNIE NDO HUYO.


kuna washkaji walinitumia sms kupitia kilongalonga changu kwamba wanaomba niwawekee picha ya bonnie zacharia (b-sly) ili waweze kumsoma japo kwa mbalimbali mana wanavutiwa saaana na sauti yake awavutishapo pumzi kupitia bonge moja ya pindi liitwalo VUTA PUMZI kila siku ya j-tatu hadi ijumaa,kuanzia 4:00 jioni- 07:00 usiku. haya kazi kwenu b-sly ndo huyooo...kuna mwingine mwataka kumpigia camera? nambieni niwaletee mana kiduchu nipo kwaajiri yenu... ha ha haaa!

1 comment:

 

Sample text

Sample Text