Wednesday, November 25, 2009
KARIBU KIBARAZANI KWANGU MZEE WA MISHE MISHE
mheshimiwa hapa aitwa JULIAN ISHUNGISA lakini waweza punguza muda kwa kumuita J REE, bwana mdogo anafanya mambo makubwa kushinda umri na umbo lake kunako msebenuo wake wa www.twentyfoursevenmishemishe.blogspot.com tembelea pande hizo ili uungane nami kwamba jamaa ni mkali ile mbaaaya....kamata bomba twende mzeiiiiiya!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ngoja niende huko isije nikakosa mambo lakini kama nilikuwa huko muda si mfupi. Sio mbaya nikipita tena:-)
ReplyDeleteNashukuru kuwa TUNADUMISHA UMOJA NA USHIRIKIANO.
ReplyDeleteAsante kwako Da Aggie