Social Icons

Pages

Wednesday, November 25, 2009

MTOTO WA NYOKA NI NYOKA......


teh teh teh...kamshkaji kangu NELLY SHABAN KONDO,jana nlikakuta kwenye chumba cha kuandalia habari kako busy kweli kweli na computer nikakauliza kulikoni mwenzetuuu? eti kakanijibu kanamsaidia babaake kuandaa kipindi cha ANGA LA MICHEZO....haya kaka SHEBY KONDO mrithi wako ndo huyoooo mtamboni. ha ha ha....

1 comment:

  1. This is coool....Hongera kwa Kaka Shebby na asante kwa kutujuvya hi japo kwa KIDUCHU

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text