Friday, November 27, 2009
KAZI KWENU WAVUTA SIGARA..
Baadhi ya visingizio vinavyotolewa na wavutaji ili kuhalalisha uvutaji wa sigara vimebainishwa kwamba sio vya kweli, kimsingi sigara inamadhara kwenye mwili mzima wa mwanadamu…. sigara inaathiri kila sehemu kuanzia Mapafu, Ngozi, Mishipa ya damu, Kizazi, Ubongo, Macho na Tumbo. hakuna dawa ya kutoa sumu hiyo ya sigara mwilini.Ni vyema basi kwa wavutaji wakaacha ukaidi, wakawasikiliza wataalamu wa afya ili wajiepushe na mabalaa haya ambayo yanaambatana na uvutaji wa sigara. Nani miongoni mwetu anaependa kua na mapafu yaliyo oza wakati akiwa hai?jamani,mi nimekupa kiuduchu tu mengi zaidi waone wataalamu wa afya....
hebu mwone huyu mtoto jamani looh! sasa mpaka kufikia ukubwani haliyake kiafya itakuwaje?akuuuh! jamani wadau mi mgeni....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mamamamama weeeeee! mwe mi naogopa. Kaaazzzi kwelikweli jamani hawa watoto wanafanya nini kwenye baa na huko kwenye sigara.
ReplyDelete