Wednesday, October 28, 2009
P-SQUARE HAOO TENA
peter na paul okoye wamefikisha nakala milioni moja kwa albam yao mpya ya “danger”,wanamuziki hao wametangaza kuwa albam yao imefikisha mauzo ya nakala milioni moja chini ya wiki tatu tangu itolewe. P-square waliachia albam hiyo tarehe 15 september kwa lengo la kuvunja rekodi zilizowekwa na albam zilizo tangalia kama ya “GAME IS OVER”ambayo iliuza nakala milioni moja ndani ya siku 6....Mmm! hiyo nimekupa kiduuuchu ili usikinai, lakini naamini imekupa mwangaza wa kutosha kuhusu hao vijana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
bado nna kimuhemuhe za show zao mbili walizofanya dar es salaam na kukonga mtima wane!
ReplyDeletejamaa kweli wakali kuna ngoma mpya wameitoa inaitwa gimme that ni nomaa hebu fanya kuisikiliza tuon...
ReplyDelete