Social Icons

Pages

Monday, September 20, 2010

ZAMU YA IRINGA IMEFIKA....


Vijana toka TMK na TIPTOP, muda si mrefu walikuwa wakifanya enterview Ebony fm na Edwin Bashiri (Eddo) kupitia kipindi cha The Splash. Jamaa wapo Iringa kwaajiri ya ule mzunguko wao wa kampeni na Mh. Jakaya kikwete, na kesho ndo mpango mzima utakuwa pande za ISIMANI.

"Chege kaka, nani tena analeta usumbufu kwa phoneeeeeeee?" hah hah "busyyy"

Madee,Tunda na Cassim

Eddo akitaka awekwe sawa na jambo lililokuwa likimtatiza yeye pamoja na msikilizaji kuhusu tiptop.

Tunda akiwa makini haswaaa na ujibuji wa swali alilokuwa ametundikwa Eddo.

Chege,Mwalubadu & Mh.temba

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text