Social Icons

Pages

Friday, August 6, 2010

UZA NYAGO NA CAMERA YA KIDUCHU.......


Hama q,juzi alikuja kututemdelea ofisin kwetu nikaona si mbaya kama tukapata nae japo picha kimtindo na kuzoza nae mawili matatu,bila hiyana wala mbwembwe mchizi akafanya kama tulivyotaka japo mengine siwezi kukwambia mpendwa wangu kwa sababu ni mali yetu wenyeeewe....hahh hahh hah usikasirike pls pata zawadi ya picha.

Mamaa wa jipe raha & Hama q

Mzee wa Viva Afrika G-ndabagoye,Saggy & Anna

Hama q & Mwalubadu

Dj kwasa,Hama q & Mie

Dj kwasa,Hama q & (Kontena la maneno,Mwarabu wa dabaga,Mama sinyo,gazeti la kiingereza washwahili wanaangalia picha tu ama Mamaa wa jipe raha).. Hah hahh hhah hizo zoooote ni a.k.a zake na nyingine nimezisahau,ila jina lililo kwenye kitambulisho che kupigia kura ni Hatya Omari

Nilifurahi sana kiukweli kustorika na Hama q,maana kuna mengi ambayo sikuwa nayafahamu niliyafahamu japo kwa zile dakika kiduuuuuchu nilizozipata za kustorika nae.
Mi sio mpenzi wa taarabu hata kidogo,lakini ile "pembe la ng'ombe" ya kijana huyu ndo ilinifanya walau kidogo nitake kujua kwenye taarabu kunaniiii??? Maana kilicho kwenye ile ngoma huwa nikisikiliza nacheka tu peke yangu. Kumbe utamu wa mipasho uwa na wakupashanae, upooooooooo?? Mmmm! Mi mwenzenu mgeni wandugu.....

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text